eGazeti | Using Artificial intelligence to read APK

Read books, Newspapers like Citizen, The Citizen, The Guardian and othersJun 20, 2021
news, magazines, egazeti, first, credible, mwananchi, epapers, habari, kama
Requirements:
Require Android 4.2 and up

Key features

 • Read books, Newspapers like Citizen, The Citizen, The Guardian and others
 • Mwananchi: ambalo limesheheni habari mbalimbali za Siasa, Michezo, Chambuzi mbalimbali. Ni gazeti linaoongoza Tanzania, na Afrika mashariki ambalo hutoka kila siku,
 • The Citizen: Ni gazeti la kingereza ambalo hutoka kila siku lenye habari za kitaifa na kimataifa, habari za siasa, biashara na mengine mengi.
 • Mwanaspoti: Ni gazeti la michezo, burudani. Kama wewe ni mpenda michezo au mfuatiliaji wa michezo, mwanaspoti litakupa yote haya.
 • Daily Monitor
 • Business Daily
 • Taifa leo
 • The East AFrican , na mengineyo mengi
 • Mwananchi Epaper
 • The Citizen Epaper
 • Mwanaspoti Epaper
 • Special Report Epaper
 • Daily Monitor for uganda epaper or publications
 • Business Daily epaper
 • Taifa leo Epaper
 • The East AFrican Epaper.
 • If you are looking for a solid app rated with 3.80/5 from 21 votes , the eGazeti | Using Artificial intelligence to read is just for you.
 • A first egazeti app that will be great addition to your phone.
 • More than 102,882 downloads since the first upload.
 • eGazeti--Using-Artificial-intelligence-to-read APK can be downloaded free of charge.
 • The APK of eGazeti--Using-Artificial-intelligence-to-read from is checked for viruses and malware, and safe to download.

eGazeti | Using Artificial intelligence to read APK

eGazeti.co.tz brings the Most Credible News from East Africa, Tanzania, Kenya, Uganda, Africa and the World. Get your Dailys, Special Reports, Scoops, and latest stories from Politics, Business, Technology, Sports and more.

eGAZETI ni mfumo bora wa kusoma magazeti ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Pia magazeti ya Kenya na Uganda.

Mwananchi Communications Limited and Dau Technology Limited wanafurahi kukuletea mfumo wa eGAZETI, unataka kufanana na Mwananchi Epaper reader.

kwa kushirikiana na Dau Technology LTD, eGAZETI inakuletea mfumo ambao ni rafiki kwa mtumiaji.

e Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti yote ya Mwananchi, The Citizen na gazeti lako pendwa la michezo la Mwanaspoti. Pia e Gazeti inakuletea uwezo wa kusoma habari mbalimbali za kiuchambuzi kama vile Special reports, ambayo ni habari maalumu kutoka gazeti la Mwananchi na The Citizen.

Kuwa wa kwanza kupata habari zenye viwango vya juu, zilizothibitishwa kimataifa.

Kwa kutumia eGAZETI utapata habari kutoka gazeti la:

- Mwananchi: ambalo limesheheni habari mbalimbali za Siasa, Michezo, Chambuzi mbalimbali. Ni gazeti linaoongoza Tanzania, na Afrika mashariki ambalo hutoka kila siku,

- The Citizen: Ni gazeti la kingereza ambalo hutoka kila siku lenye habari za kitaifa na kimataifa, habari za siasa, biashara na mengine mengi.

- Mwanaspoti: Ni gazeti la michezo, burudani. Kama wewe ni mpenda michezo au mfuatiliaji wa michezo, mwanaspoti litakupa yote haya.

Kwa sasa pia unaweza kusoma magazeti yafuatayo:

- Daily Monitor

- Business Daily

- Taifa leo

- The East AFrican , na mengineyo mengi

Pia: eGAZETI inakupatia namna bora na rafiki ya kufanya malipo kwa mitandao yote pendwa.

Hii siyo Mwananchi Blog, ni mfumo kamili wa kusoma magazeti yetu kwa njia ya kidigitali

App ya Gazeti kwa mfumo wa epaper itakuwezesha kusoma machapisho hata kama utakuwa offline baada ya kupakua mwanzoni, pia itakuwezesha kuona maktaba yako ambayo inakurahisishia usomaji.

Utaweza kuchagua na kulipia gazeti kwa:

Malipo kwa siku

Malipo kwa wiki

Malipo kwa mwezi

Malipo kwa miezi mitatu na

Malipo kwa mwaka mmoja

=== English ===

eGazeti is an application for reading Tanzania newspapers, especially Mwananchi papers or publications. This Tanzania Epaper offers the following publications:

- Mwananchi Epaper

- The Citizen Epaper

- Mwanaspoti Epaper

- Special Report Epaper

- Daily Monitor for uganda epaper or publications

- Business Daily epaper

- Taifa leo Epaper

- The East AFrican Epaper.

All these Tanzania epapers and East AFrican publications are avaible via Egazeti.

Join us and get best expirience in your mobile or egazeti web.

Karibu, "First with credible news"


eGazeti | Using Artificial intelligence to read (Android Package) APK 20M


Made by: Dau Technology LLC